SmartDental Logo

Furahia Huduma Bora za Afya ya Kinywa
kwa Uangalifu na Upole

Tabasamu lako linastahili huduma ya kipekee. Katika Smart Dental Clinic, tunatoa huduma kamili za afya ya kinywa kwa kutumia teknolojia ya kisasa na mguso wa upole, kuhakikisha kila ziara yako ni ya faraja na bila msongo wa mawazo.

Tathmini ya Google5.0 ★★★★★Kulingana na maoni 492

Tunajivunia kuaminiwa na:

NHIF| Strategies| Jubilee| Britam| GA insurances

Inapakia hali ya kliniki...

Dental Service Mobile

Not every day is a Good Day for your teeth.

Maumivu ya meno hayatoi taarifa. Ndio maana tuko wazi kukusaidia muda wowote unapopata dharura. Weka miadi yako sasa.

NHIF
Britam
Jubilee
Strategies
Ga

Huduma Tunazotoa

Matibabu ya kisasa ya meno kwa viwango vya juu vya usalama.

Kung'oa na Kutibu MenoSafi & Salama
Kusafisha Meno (Scaling & Polishing)Inapendekezwa
Kuweka Meno ya Bandia (Denture)Imara zaidi
Kuziba Meno (Dental Filling)Rangi ya Jino
Upasuaji mdogo wa Fizi & MenoWataalamu
Matibabu ya Mishipa ya Meno (Root Canal)Marekebisho
Meno ya Dhahabu na SilverUrembo
Orthodontics (Marekebisho ya Meno)Meno Yaliyopishana
Dental X-Ray (Vipimo vya Meno)Uchunguzi wa Ndani
Matibabu ya Fizi na Harufu ya KinywaAfya Bora

Maswali ya Mara kwa Mara

Pata majibu ya haraka kuhusu huduma na utaratibu wetu hapa.

Hukupata jibu la swali lako?

Uliza daktari swali lako sasa hivi bure kabisa (Free Ask Question).

Msaada / Support

Dentcation (Elimu ya Meno)

Jifunze jinsi ya kutunza kinywa chako kupitia video fupi kutoka kwa wataalamu wetu.

Kituo Chetu cha YouTube
Jiunge (Subscribe)
Bolt