Smart Dental Clinic Services
Huduma za kisasa za afya ya kinywa na meno zilizoboreshwa kwa teknolojia ya juu.
Kung'oa na Kutibu Meno
Kusafisha Meno (Scaling & Polishing)
Kuweka Meno ya Bandia (Denture)
Kuziba Meno (Dental Filling)
Upasuaji mdogo wa Fizi & Meno
Matibabu ya Mishipa ya Meno (Root Canal)
Meno ya Dhahabu na Silver
Orthodontics (Marekebisho ya Meno)
Dental X-Ray (Vipimo vya Meno)
Matibabu ya Fizi na Harufu ya Kinywa